Anthony Joshua vs Takam Kuzichapa Leo Octoba 28

Bingwa wa dunia wa uzito wa juu nchini Uingereza, Anthony Joshua Ataingia Leo Uwanjani Kuzichapa Na Mbabe Takam inaamini ataendelea kuwa bora na imara kwa zaidi ya miaka 10 ijayo.


Joshua mwenye umri wa miaka 28 ameyasema hayo katika kipindi hiki ambacho anakabiliwa na mchezo wa kutetea mkanda wake wa WBA na IBF dhidi ya Carlos Takam unaotarajiwa kupigwa hapo Baadaye katika Uwanja wa Principality mbele ya mashabiki 78,000 huko Cardif.


 Joshua anaamini anaweza kufurahi kama atakuwa katika kiwango cha juu na kuweza kukilinda kiwango hicho kwa zaidi ya miaka 10.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.