Cardi B akava jarida la Rolling Stone

Cardi B amefanikiwa kukava jarida la Rolling Stone ambapo ilikuwa ni moja ya ndoto yake kubwa
 ya miaka mingi.
Msanii huyo ambaye ameteka vichwa vya habari Marekani, amefunguka mambo kibao katika jarida hilo ikiwemo umaarufu alioupata sasa, ujio wa albam yake mpya, bifu zinazoendelea katika muziki, kuhusu mpenzi wake Offset na mambo mengie mengi.
Kupitia mtandao wake wa Instagram, Cardi amedai kuwa hajaamini tangu alipopokea simu akutakiwa kutokea kwenye kava la jarida hilo maarufu duniani.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.