Ciara asherehekea ‘Birthday’ na wagonjwa

'#YouStoleMyHeart': On Wednesday, Russell shared a sweet photo of Ciara, in honor of her 32nd birthday; pictured during a trip to the Great Wall Of China


Nyota wa muziki nchini Marekani, Ciara Harris, juzi aliwafariji mashabiki wake wagonjwa baada ya kuwatembelea katika hospitali ya watoto ya Seattle na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Ciara aliungana na mume wake, Russell Wilson na mtoto wao, huku wakiwa na zawadi mbalimbali kwa ajili ya wagonjwa. Siku hiyo Ciara alikuwa anasherehekea kutimiza miaka 32 ya kuzaliwa kwake.

Big hearts: Russell Wilson and wife Ciara headed to Seattle Children's Hospital to surprise fans on Tuesday

So thoughtful: The athlete, 28, and the singer, 32, posed with kids and parents during their visit, as well as gifting fans Seahawks gear

Heartfelt: The pictures were shared on Seattle Children's Hospital Facebook page with the caption: 'From Seattle Seahawks super fan surprises to the sweetest goodbye lullaby, Russel Wilson and Ciara spread love, grace and cheer to patients and families today'

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, aliwashukuru viongozi wa hospitali hiyo kwa kumpa nafasi ya kuwafariji wagonjwa.

“Ninaamini kila sehemu kuna mashabiki wangu, nikaona bora siku yangu ya kuzaliwa nikaungane na baadhi ya mashabiki ambao ni wagonjwa, lengo kubwa lilikuwa ni kuwafanya wawe na furaha, japokuwa ni wagonjwa, tunawapenda wote,” aliandika Ciara.
No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.