Duu!! Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipishana na Usher RaymondSiku na terehe kufanana katika maudhui ya kumbukumbu ni kitu ambacho uwafurahisha wengi kama kutakuwa na ulandano wa tarehe na mtu maarufu Duniani. 

Staa wa Marekani, Usher Raymond leo anaikumbuka siku ya kuzaliwa kwake huku Tanzania na watazania wazalendo  wakiiukumbuka siku ya kumpoteza Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere.

Usher atakuwa ni mwenye kuithamini sana siku hii ya kuzaliwa kwake na tofauti iliyopo ni kuwa Julius Kambarage Nyerere alifariki tarehe ambayo Usher alikuwa anatimiza umri wa miaka 26 hiyo ni mwaka 1999 na kumbukumbu ya kufariki kwa Nyerere leo ni hesabu ya miaka 18(Miaka 18 bila Baba wa Taifa).

Hata hivyo Kingine kikubwa ni watu weusi Duniani kote kuwa Oktoba 14, 1964, Martin Luther King Jr. aliipokea tuzo kubwa ya heshima ya ‘Nobel’ kwa harakati zake kupinga ubaguzi wa rangi kwa Amani huko Marekani.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.