ANDAA MKWANJA HUU KUMPATA OCTOPIZZO KWENYE NGOMA YAKO!

Haipingiki, Octopizzo ni moja ya Ma-rapa kutoka Kenya aliyebarikiwa kipaji cha kipekee.

Utafutaji wake mpaka kutoboa kwenye game hauna kificho! Kutoka Kibera mpaka ku-perfom Jukwaa moja na mastaa wa dunia kama Snoop Dogg na wengine.

Kwenye mahojiano yake na kituo kimoja hivi karibuni,
"Sifanyi Collabo kwa mapenzi, urafiki au sababu nyingine yoyote. Nipo kwenye biashara, biashara haswa. Lakini inategemea, wasanii wengi chipukizi niliofanya nao kazi hawakuwahi kunilipa, sababu nilipenda uwezo wao. Lakini nikitoza pesa, huwa natoza ($2000) sawa na Shilingi 4,661,000/= za Kitanzania.
Octopizzo aliweka wazi gharama zake anazotoza kwa msanii anayetaka kufanya naye kazi (Collabo),

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.