Baada ya Bieber kumrudia Selena Gomez. The Weeknd alipiza kisasi

Baada ya Bieber kumrudia Selena Gomez... The Weeknd alipiza kisasi.. atoka na Ex wa Justin Bieber, anaitwa #YovannaVentura.

Habari zinasema wawili hao walionekana pamoja November 10 wakiwa kwenye ukaribu wa kimahaba, ni kwenye Birthday party ya French Montana.

Mpenyeza Infoz anasema,
"The Weeknd was there hand in hand with Yovanna Ventura all night. They arrived together. They were holding hands. He was there for a solid two hours with her and everywhere they went they held hands.”- Mnyapiaji huyo aliuambia mtandao wa Us Weekly.
Baada ya tukio hilo, #TheWeeknd na Yovanna walionekana tena pamoja kwenye gari wakitoka club ya usiku, wakiwa wamekalia siti ya nyuma.

Bieber na Yovanna walikuwa na uhusiano wa kimapenzi mwaka 2015 na waliachana mara tu baada ya JB kuhusishwa ku-date na Kylie Jenner.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.