BANKY W AFANYIWA UPASUAJI WA TATU KUTIBU KANSA NADRA YA NGOZIMuimbaji wa Nigeria na CEO wa EME, Banky W amefanyiwa upasuaji kuondoa kansa nadra ya ngozi aliyokuwa nayo.

Huo ni upasuaji wake wa tatu ambapo wa kwanza anasema alifanyiwa miaka 10 iliyopita.

Kupitia Instagram, Banky W ameshare picha pamoja na maelezo kuhusiana na ugonjwa huo, ambapo amedai kuwa kwa sasa anaendela vizuri.

Hiki ndicho alichokiandika kwa ufupi,
A wise man once said this: "Scars. A sign that you had been hurt. A sign that you had been healed." Scroll through the pictures to see mine.I'm sharing these because they're proof of what God has brought me through. And because somewhere out there, I know there's someone who needs to hear this.

For those who've been wondering why I've been away so long..I had my 3rd surgery on a rare strain of skin cancer tumours in my shoulder last month. The first 2 times were over 10 yrs ago, then it recently resurfaced. But this isn't a sad story as much as it is a reminder, and a testimony.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.