BARAKAHTHEPRINCE AMEELEZA SABABU YA KUTOKA ROCKSTAR PAMOJA NA YOUTUBE CHANNEL YAKE KUNA WATU WANAICHOKONOA


Image result for baraka da price
Barakah daprince Ameeleza Sababu za kutoka RockStar na kudai baada ya kutoka RockStar na kuachia VIDEO yake mpya #Sometimes VIEWS zake za YOUTUBE zimeminywa ili asiwe na VIEWERS wengi!!!
Na kuongeza kuwa alikuwa anacheleweshwa kutoa nyimbo ndo mana imebidi aondoke, amesema pia Account yake ya YouTube hiyo Meneja wa Alikiba na MXCarter wanauwezo wa kuingia kama watumiaji, ana mpango wa kuifuta na kuanza upya ili wasiweze kufanya chochote!!!

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.