Davido kuibariki siku yake ya kuzaliwa na 'Like Dat'.

Muimbaji huyo staa wa Nigeria ametupa Infoz hizi kupitia ukurasa wake wa Twitter akisema,
"Wimbo mpya utatoka kwenye siku yangu ya kuzaliwa, #LIKEDAT" aliandika Davido ambaye November 21 atatimiza miaka 25.

Davido anaachia Like Dat ikiwa ni siku 5 tu tangu aiachie FIA.

pamoja na FIA, kwa mwaka 2017 pekee tayari Davido ametoa Hits kama: IF, FALL, na PERE.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.