DIAMOND KUPIGA SHOW YA MAANA LONDON

Mwimbaji nyota wa Bongo Fleva diamondplatnumz atapiga show nzito katika mojawapo ya ukumbi mkubwa na maarufu nchini Uingereza tarehe 17 Disemba. Tovuti ya ukumbi huo imenadi.

Diamond kwa sasa yuko London kufanya promotion ya "gig" hiyo ya aina yake kwenye ukumbi ujulikanao kama The O2 wenye uwezo wa kuchukua watu 2,800 ulioko kusini mashariki mwa London.

Ukumbi huo pia umewahi kutumiwa na wasanii wakubwa duniani kama Rihanna, Beyonce, Jay-Z na wengineo.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.