Dogo Janja Kaachia Video Ya Harusi Yake Tizama Hapa


Msanii Wa Muziki Anae wakilisha TipTop Connection Hivi Karibuni Amefunga Ndoa Na Msanii Mwenzake wa Filamu Ajulikanae Iren Uwoya.

Wawili hao ambao wameweka Gumzo Mitaani na katika Mitandao Ya Kijamii kuwaacha Mashabiki zao Midomo wazi na watu kusema ni Uvumi tu hiyo sio harusi bali ni Movie au Music Video.

Wengine wanaamini Kuwa Dogo Janja Kumuoa Iren Sio Jambo sahii Kitu ambacho sio kweli sababu mapenzi sio umri bali ni kutoka moyoni. Sasa Baada Ya Yote hayo Dogo Janja akaamua kuvunja ukimya pale alipo achia video ya ndoa yake.

Angalia hapa

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.