Harmonize : Mimba Ya Sarah Ilikuwa Kiki Tu Au Kumuumiza Wolper

Harmonize amefunguka kuhusu mimba ya baby mama ake mzungu Sarah na amesema "sisi na wenzetu tuna utofauti sana ukitumia jicho la kawaida huwezi kujua kama anamimba mpk apa navooongea anaumwa na yupo italy nimeshindwa kwenda kwa sababu nilikuwa na majukumu so akanambia usjal bby ntaenda"
Vile vile aliulizwa pia kuhusu jina la mtoto akasema "nikizaa mtoto wa kiume yoyote nitamwita #ibrah na wakike cjafikiria bado" alisema harmonize_tz :

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.