Hatimaye Mariah Carey ajisalimisha kwenye label ya Jay Z, Roc NationNa: Omary Ramsey

Baada ya Mariah Carey kuachana na meneja wake, Stella Bulochnikov, ameamua kusaini na label ya Jay Z, Roc Nation. 

Chanzo kimoja kimeiambia tovuti ya Page Six kuwa Mariah amebadilisha pia watu wengine wakiwemo wasaidizi na mwanasheria.

Mpenzi wa Carey, Bryan Tanaka anadaiwa kuendelewa kuwa mkurugenzi wake wa ubunifu.

Mariah na Jay Z wana historia ndefu ya kufanya kazi pamoja ikiwemo kwenye nyimbo kama “Heart breaker,” “You Got Me,” na “Things That U Do.”

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.