Jay-Z avaa koti lenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 10

Koti hilo la ngozi kutoka kampuni ya Gucci, linauzwa $4,850 (sawa na Tsh. 10,901,587/=) .. na Hov alilivaa jana kwenye ziara yake inayoendela ya 4:44 mjini Atlanta Marekani.
No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.