Jordin Sparks ni mjamzito

Muimbaji wa Marekani Jordin Sparks ni mjamzito! anategemea mtoto wake wa kwanza na mume wake, Dana Isaiah. Umeripoti mtandao wa PEOPLE.

#JordinSparks ambaye aliwahi kuitikisa dunia kwa Hit Single ya 'NO AIR', inasemekana alifunga ndoa kwa siri mapema mwezi Julai.


No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.