Korede Bello ameikacha lebo ya MAVIN RECORDS?

Huenda ikawa kweli, kwa ushahidi wa kubadilika kwa BIO yake kwenye Akaunti ya Instagram korede belloKorede amefuta jina la Mavin Records na kuandika kwa sasa anasimamiwa na #Caspertainment.

Member wengine wa lebo hiyo, Reekado Banks na Dija bado wameandika jina la lebo hiyo inayomilikiwa na Don Jazzy.

Tusubiri tuone!

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.