KUMBE HUYU NDIYE KAVUNJA PENZI LA THE WEEKND NA SELENA GOMEZ!

Taarifa kwenye headlines ni kuvunjika kwa penzi kati ya The Weeknd na Selena Gomez.. Je, Unamfahamu aliyesababisha?

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, The Weeknd ndiye aliamua kuachana na Mwanadada Selena Gomez.. Sababu zilizotajwa ni kutaka kuwa SINGLE tu!

Wengi walihisi jini mkata kamba ni Justin Bieber... ila watu wa karibu na Star Boy, The Weeknd wanasema kuwa #JustinBieber hausiki kwa chochote katika kuuvunja uhusiano wa wawili hao.

Licha ya kuachana, #TheWeeknd na #SelenaGomez bado ni marafiki na wanasiliana mara kwa mara. Ni kauli kutoka upande wa watu wa karibu na Mwimbaji The Weeknd.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.