KWA COLABO HII.. NICKI MINAJ ATAKIONA CHA MTEMA KUNI


Mahasimu wa Nicki Minaj waungana!! Remy Ma amemsogeza Lil Kim kwenye colabo inayodaiwa Nicki Minaj amechanwa sana!

Kwa mujibu wa TMZ, Rapa Remy Ma amesaini dili nono la kurekodi album na studio za Colombia Records, dili hilo pia limemfanya apate nafasi ya kufanya wimbo na mkongwe Lil Kim, wimbo unaodaiwa kuwa ni DISS Kwa Nicki Minaj.
Wimbo huo unaitwa 'WAKE ME UP', na tayari #RemyMa na #LilKim wameonekana wakiwa On Set wakifanya video ya wimbo huo.
(Picha Juu)
-

Baadhi ya mistari iliyonaswa na wanyapiaji inamlenga Nicki juu ya uhusiano wake na rapa NAS.

▶"That crown I'm gon take that sh*t. Cause you a clown and homie don't play that sh*t."
-
▶ "I heard he lay that d***. You let them filet that fish. You just met him how he bae that quick?"

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.