Lebron James ndani ya kashfa hii nzito!!!

Mcheza kikapu LeBron James amejikuta ndani ya matatizo makubwa baada ya mrembo mmoja kudai staa huyo wa NBA kamtembelea kwenye DM yake.

Mrembo huyo HEIDI HOBACK @lilredheidihood, ambaye ni mwanamitindo, kupitia Snapchat, ame-share Screenshot za DM zikionesha staa huyo wa Cleveland Cavaliers akijaribu kumtia maneno matamu kwa lengo la kumtongoza, King James aliandika,
"Nifundishe kuwinda, nitakufundisha kucheza kikapu. dili hilo."- ilisomeka Text ya kwanza ya Lebron kwenye DM ya mrembo huyo.

 

#LebronJames au King James ni mume wa mtu na ana watoto watatu.

 Credit : @Info_Hd

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.