Magazeti matatu Yapewa Onyo Kalii Na Bunge

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limetoa onyo kali kwa magazeti na Wahariri wa gazeti la Mtanzania, Mwananchi na Nipashe kwa kosa la kuchapisha na kusambaza mwenendo wa shauri lililokuwa likifanyiwa kazi na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.