MICHAEL JACKSON KWENYE LIST YA MASTAA WENYE MKWANJA!

https://ichef.bbci.co.uk/images/ic/960x540/p01bqlx8.jpg

Michael Jackson amefariki miaka 8 iliyopita lakini bado anazidi kutengeneza pesa nyingi sana.


Kwenye list ya Forbes ya Watu maarufu waliofariki dunia, The Pop star Michael Jackson ameongoza kwa kutengeneza kiasi cha dola za kimarekani Milioni 75 kwa mwaka 2017.

Huu ni mwaka wa tano mfululizo kwa MJ kukaa juu ya list hiyo, huku Forbes wakisema fedha hizo zinaingia kupitia mauzo ya album zake za karibuni (Scream) yanaoendelea, mgao wa mapato kutoka

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.