NICK MINAJ AMEWAGEUKIA WATU WANAOMZUSHIA ANA BIFU NA CARDI B :

   Image result for cardi b and nicki minaj
Rapa wa kike kutokea marekani nickminaj amechoka kuzushiwa bifu na rapa mwenzake wa kike cardi b .
 

Hayo yamejitokeza baada ya shabiki mmoja huko twitter kusema kwamba nick minaj alikuwa hajui kama card b atakwepo collabo ya nyimbo yao mpya MOTOR SPOT ambayo MIGOS wamewashirikisha

nickiminaj alimjibu shabiki uyo kupitia ukurasa wake wa twitter na kusema "no one else was on it.he called &asked if i think we should put bardi on it .i said ok lest do it ."

Hata hivyo nick alishare vitu vingi sana kupitia ukurasa wake wa twitter kuhusu alivoshirikishwa kwenye kolabo hiyo na mara ya kwanza hakujua kama atafanya na kundi la migos tofauti na quavo na nan ntakuwa nae na niliulizwa pia kuhusu kumweka card b nikasema sawa sina tatizo"

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.