Nyandu Tozz Aweka wazi Maana Ya 26 Number

Msanii wa muziki wa hiphop bongo kutoka kundi la B.O.B #nyandutozzy ameweka wazi maana ya namba 26 ambayo huwa anatumia sana hasa kwenye video yake mpya yA double double aliyomshirikisha #Chinbees pamoja na #Youngdaresalama :

#youngtozzy alipoulizwa maana ya namba hiyo inamaa gan alisema "" 26 ni namba ambayo inawakilisha dunia nzima lakini kwa southafrika pale imepewa heshima tofauti yan kwamba 

 ukisound 26 ni mtu mtafutaji anatumia jasho lake anaspend money ambayo ye kaitafuta kwa njia zake, 
26 south afrika wanaiheshimu sana kama mtafutaji inshort ni mtu mtafutaji sio lelemama sio mtu wa kuslope kwaio mi nilipofika south kuna njia nilizopita mbili tatu za maisha so mabrother kutokana na umri wangu mi nakumbuka naingia kule nilikuwa mdogo kuliko madogo wote waliowah kuingia kwa njia tofauti na nilipelekwa jela kwa sababu nilioverstay""alisema nyandutozzy 
 
Aliongezea na kusema kwamba namba io alipewa kwenye jela la south afrika linalitwa new lock lakini wabongo wanaliita new york kwa sababu kila kitu unapatiwa chakula cha kula , unapewa mavazi ,kuna huduma unajaza asubuh unatakula nini kwaio unapata kila kitu unachohitaji na namba io nimepatiwa nkiwa pale na humo jela kuna watu wanaishi kwa code na kuna namba nyingi kama 27 ,28 ,29
 

Lakini27-yeye anatumia silaha anAuwa anafanya vitu vingi
26-inabalance kwa sababu ye hafanyi tukio baya jela na ndo mana wa south wengi wanaiheshimu sana 26 kwa sababu haiendi kinyume na sheria,

27 na 28 wao wanafanya maamuzi kutoka kichwani kwao hawaeleweki

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.