Penzi limeanza kunoga!

#JustinBieber na #SelenaGomez wamezidi kutilia mafuta uvumi wa kurudiana, leo tena wameonekana pamoja jijini Los Angeles wakiendesha baiskeli na kuvinjari pamoja.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.