Prezzo Tumia Kinga Kwa Amber Lulu

#tidmnyama ameamua kumchana rapper mkongwe kutoka kenya #prezzo kuhusiana na #videovixen Amber lulu anayesemekana anatoka nae kimapenzi :

Tid mnyama aliuzwa na alisema ""we dont know what exactly what happening hahaha acheze na dume flan la simba prezzo sorry men asanten sana
Akaongezea na kusema use the most expensive shit u ever used before bcoz the place u go ni DANGER" alisema tid mnyama :
:
Prezzo alipoulizwa kuhusiana kauli hiyo ya tid alisema ""si kwenda kwenye runinga afu kutangaza so mi namshangaa unajua sema ukweli afu yule mi mshkaji wangu kama nilivokwambia saiv nipo sehemu flan hv ya maisha yangu ya amani lakini kuna watu wananiingia mimi kwa kona mbaya afu mimi ukiniingia kwa kona mbaya mi msela bro u know huu weupe huu na hiZi dhahabu zisiwadanganye na simskilizi"" alisema prezzo

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.