RichMavoko ft Patoranking - Rudi (Official Music Video)

Kutoka WCB Wasafi Anaitwa Messi wa Bongoflava, Richard Martin AKA Rich Mavoko amekutana na Director Moe Mussa pande za London, Uingereeza kuikamilisha Video ya ngoma Rudi aliyomshirikisaha Mnigeria Patoranking.

Stori ya mtoto mzuri ambae amefungasha mizigo yake na kuamsha mbali na Rich Mavoko ndio kitu kimeonekana kwenye Video, Simba wa Tandale (Diamond Platnumz) ameonekana kwenye shot moja ya kibabe.

Angalia Hapa:

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.