Rosa Ree amekanusha fununu za yeye kusaini Wanene

Image result for rosa ree

Rapa Rosa Ree amekanusha fununu za yeye kusaini mkataba mpya wakufanya kazi na Wanene Entertainment... Na hakuna maongezi yoyote yanayo endelea baada ya mkataba wake wa awali wa kufanya kazi na Lebo ya Muziki nchini "The Industry" iliyo chini ya Aika na Nahreel wanaounda kundi la NavyKenzo kumalizika.

The goddess rapa Rosa Ree, amekiambia kipindi cha Top Hits Cha Dream Fm kinachosimamiwa na Ergon Elly kuwa, kwasasa hafikirii suala la mikataba zaidi ya ku-focus kufanya kazi nzuri na kuzifanya ziwafikie mashabiki zake.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.