Rubby : Kukaa kimya Kwangu Haimaanishi Kuwa Nimefeli

msanii  ruby aliulizwa kuhusu kukaa kimya kwa kipindi kirefu sana na alijibu "sijui mi naona tu watu wanalalamika nipo kimya wanadhan labda nimefeli hapana kuna mda u need space kujitathmini kuangalia mashabiki na nimepata kugundua wanafiki na wazuri ni hawa unajua ukimisiwa nyumban basi una moyo mzuri na vitu vingi vimenipa nyimbo za kuimba so ivo yan " alisema ruby
Aligusiwa pia kuhusu collabo yake na yemi alade kutoka nigeria alisema kwa sasa hawezi kuongelea hilo 

Aliskika Ruby Kupitia Bongo Dot Kom Ya Times Fm

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.