Taylor is Back!!!

Album mpya ya Taylor Swift (Reputation) imeuza zaidi ya nakala Milioni 1.5 kwa Marekani, ikiwa ni ndani ya siku 4 tu tangu itoke rasmi.

Unaambiwa, Hii ni historia kwa #TaylorSwift kwani kwa mujibu wa Nielsen Music, hii ndio album ya kwanza kufikisha idadi hiyo ya mauzo kati ya album zote zilizotoka mwaka 2017.

Reputation iliachiwa rasmi November 10, 2017 na ni album ya 6 kwa Taylor Swift.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.