UTAJIRI WA YOUNG MONEY!! T-PAIN AMEAMU KUDAI HELA ZAKE

Rapa TPain ameamua kuwashika shati lebo ya young money kupitia kazi alizozifanya na rapa mwenzake #lilwayne

Kwa mujibu wa mtandao wa kidaku TMZ umeripoti kuwa rapa Tpain anawadai young money kupitia album za lil wayne carter 3 na carter 4 na kuna ngoma ambazo alifanya na rapa huyo na hakulipwa mkwanja wowote"Pain ameongeza na kusema kuwa ngoma ya #gotmoney ambayo aliitaarisha mwenyewe na ipo kwenye carter 3 hakupewa mkwanja wowote"na toka mwaka 2008 album hiyo imeuza zaidi ya kopi million 3.2 kwa upande wa US pekee 

Vile vile ngoma ya #howtohate ambayo ipo kwenye carter 4 ulitayarishwa na msanii wake #youngfyre  nayo pia hakuambulia chochote,Kwa maelezo ya mahakama ,#youngmoney ilitakiwa kumlipa PAIN mrahaba toka kwenye album hizi na sasa kampuni ya pain inatakiwa kulipwa dola za kimarekani laki 5

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.