WIZKID APEWA KICHAMBO NA MASHABIKI ZAKE

Muimbaji staa wa Nigeria, WizKid amejikuta kwenye Wakati mgumu baada ya Mashabiki kumtukana na kumpa kichambo heavy kwa kushindwa kuhudhuria harusi ya Banky W.

Tweets mfululizo zilizojaa maneno makali zilizatawala kwenye ukurasa wake wa Twitter zikihoji kwanini ameshindwa kufika kwenye harusi hiyo.. na si hiyo tu.. hata ile ya kimila pia hakuhudhuria.

Ikumbukwe #BankyW ni baba wa muziki wa WizKid kwani ndiye wa Kwanza kumpa nafasi kwa kumsaini Karina Lebo yake ya Empire Mates Entertainment (EME), imemfanya Star Boy #WizKid kuwa hapa alipo leo.

Mpaka sasa WizKid hajajibu chochote kuhusiana na songombingo hili.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.