50 CENT kairudisha heshima yake! atengeneza Mabilioni ya pesa.


Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali, Rapa 50 Cent ambaye kwa sasa amejikita kwenye Uigizaji, amesaini dili nono la 8 figures (yaani pesa yoyote kuanzia dola za kimarekani Milioni 10) na kampuni ya Uuzaji wa Televisheni, STARZ.

Dili hilo nono linahusisha #50Cent kuonesha Movie tatu: 'Black Family Mafia', 'Tomorrow, Today' na nyingine ataitangaza hivi karibuni.

Ikumbukwe 'Power' nayo inaruka kupitia Starz, hivyo 50 Cent ameongeza mkataba wake pia na kampuni hiyo hadi 2019.

(Credit InfoHD)

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.