BEYONCE NI MTATA HASA UKICHEZA NA JINA LAKE

Beyonce akishirikiana na timu yake ya Wanasheria wameamua kupiga STOP uuzwaji wa kinywaji kimoja kilichoitwa kwa mfanano wa jina lake, BIERYONCÉ.

Sababu kuu ni utumiaji wa jina la #Beyonce pasipo makubaliano.

Aidha mmiliki wa kampuni inayotengeneza bia hiyo 'Line Up Brewing' ya mjini Brooklyn Marekani Mwanadada Katarina Martinez, amuambia mtandao wa PitchFork kuwa alifanya hivyo ili kuonesha heshima kwa Beyonce kutokana na kuwa 'inspired' na Muimbaji huyo.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.