Jarida la Forbes lataja list ya Wanamuziki waliotengeneza pesa nyingi mwaka 2017,

Jarida la Forbes lataja list ya Wanamuziki waliotengeneza pesa nyingi mwaka 2017, rapa Diddy aikalia namba 1.

Icheki hapa Top 5 list pamoja na Vyanzo vya mapato hayo.

1. Diddy - $130 Million
(Cash cows: Bad Boy Family Reunion Tour, Ciroc vodka deal, estimated $70 million sale of one-third of Sean John fashion line)

2. Beyonce - $105 Million
(Cash cow: Formation tour)

3. Drake - $94 Million
(Cash cows: The world’s most-streamed artist, Boy Meets World tour, deals with Apple, Sprite and Nike)

4. The Weeknd - $92 Million
(Cash cows: 5.5 billion streams in two years, touring)

5. Coldplay - $88 Million
(Cash cow: Head Full of Dreams tour)

Mbali na hao, rapa Jay-Z ametupwa nafasi ya 21 akiwa na $42 Million pesa ambazo amezipiga kwenye dili lake na kampuni ya Live Nation deal.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.