JAY-Z AMPA MASHAVU KANYE WEST


Sote tunafahamu kuwa Uhusiano wao umekuwa 'complicated' kwa kipindi kirefu sana, japo hawana ugomvi mkubwa.

Kupitia jukwaa la ziara ya 444 mjini Chicago Dec. 6, rapa Jay-Z alimpa mashavu Kanye West kwa kumtaja jukwaani.
"Shout out Kanye West. Peace and love." alisikika Hov wakati akiimba wimbo wa Kanye 'Can't Tell Me Nothing"
-
Jay-Z amekuwa akisafisha hali ya hewa juu ya uhusiano wake na Kanye. Katika interview aliyoifanya hivi karibuni na The New York Times, Jay alisema hana tatizo na mshkaji wake, na hivi juzi alimpigia simu na akamwambia 'wewe ni kaka yangu na nakupenda sana."

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.