NIKE KUMPA HESHIMA HII SERENA WILLIAMS

Kampuni ya Nike imepanga kumpa
heshima kubwa Serena Williams kwa moja ya jengo lao lililopo Makao Makuu (mjini Beaverton, Oregon Marekani) kuitwa jina la nyota huyo wa Tenisi.

Bingwa huyo mara 23 wa taji la Grand Slam amekuwa balozi mzuri wa kampuni hiyo tangu mwaka 2003 na Nike wameamua kumpa heshima hiyo kutokana na mafanikio yake makubwa kwenye mchezo huo.

Kupitia Instagram akaunti yake Serena aliandika,
-
"What a year it has been. First a grand slam win followed by a awesome baby... than the most magical wedding. What next? How about a building!!... Nike announced yesterday that one of its new world headquarters buildings will be named after me. It will be the biggest on campus and is scheduled to open in 2019. I am honored and grateful!

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.