#SoundCityMVP List Kamili Ya Waliotajwa Kuwania Tuzo, Wabongo Ni @DiamondPlatnumz, @VanessaMdee, @OfficialAliKiba, @Navykenzo Na @AslayIsiaka

`
Kituo cha TV SoundCity cha Nigeria kimetangaza majina ya wanamuziki waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki zijulikanazo kama #TheMVP zinazotolewa kila mwaka na kituo hicho.

Wanamuziki wakali kutokea nchi  kadhaa za kiafrika wametajwa kwenye vipengele tofauti huku Davido na Wizkid wakionekana kutajwa mara nyingi zaidi.

Watanzania Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Alikiba, Navykenzo na Dingi Mtoto Aslay ni miongoni mwa waliotajwa kwenye vipengele kadhaa.

Zoezi la uoigaji kura na kuwachagu wanamuziki waliofanya vizuri 2017 linafanyika kupitia link Hii.

Hii Hapa Chini Ni Orodha ya wanamuziki wanaowania Tuzo hizo.


AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR:

 Sarkodie

 Cassper Nyovest

 Davido

 Wizkid

 Tiwa Savage

Shatta Wale

 

AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR:
LISTENERS CHOICE
VIEWERS CHOICE

SONG OF THE YEAR


VIDEO OF THE YEAR


BEST GROUP OR DUO


BEST HIP HOP


BEST POPBEST NEW ACT

BEST COLLABORATION:

PARTICULA - MAJORLAZER & DJMAPHORISA 
 MA LO - TIWA SAVAGE 
TONIGHT – R2BEES 
MA GIRL – Toofan 
AKANAMALI   SUNELMUSICIAN
PAIN KILLER – SARKODIE 
BOOTY LANGUAGE –SKALES
 DON’T FORGET TO PRAY – AKA & ANATII 
NA WASH – BECCA ft. Patoranking 
ISKABA – WANDECOAL DJ_TUNEZ 
LOVE AGAIN – c4pedro_ ft. SAUTISOL
  
Best Male  

DAVIDO 
RUNTOWN  
DIAMOND PLATNUMZ 
SARKODIE  
NAVIO 
2BABA
WIZKID 
SHATTAWALE 
OLAMIDE

 Best Female
 VANESSA MDEE
TIWA SAVAGE 
NINIOLA 
BABES_WODUMO 
SIMI 
BECCA  
SEYI SHAY 
YEMIALADE 
 BUCIE 

(Credit Mp3tz)

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.