TREY SONGZ KUBURUZWA MAHAKAMANI

Muimbaji staa wa Marekani Trey Songz amejikuta kwenye matatizo baada ya Mwanamke mmoja kumshtaki.

Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six umeripoti kuwa, Mwanamke huyo amefungua shtaka hilo akidai #TreySongz alimfanyia kitendo kibaya kwa kumpiga na simu usoni iliyovunja na miwani yake.

Ilikuwa ni katika ukumbi wa Vanity Grand Cabaret mjini Philly ambapo Trey alikuwa akipiga show, baadae mwanamke huyo alimfata wapige picha pamoja, ndio yakamkuta hayo! Katika shtaka lake Mwanamke huyo anadai alipwe kiasi cha dola 50,000 za kimarekani.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.