Kauli Ya Wizkid Kuhusu Biashara Ya Midoli Inayofanya Mapenzi Na Binadamu Ku-Trend Nigeria

Biashara Ya Midoli Inayotumika Kufanya Mapenzi Na Binadamu Inazidi Kusambaa Kwa Haraka Nchi Za #Africa Huku #nigeria Ikiwa Ni Miongoni Mwa Nchi Zilizoathrika Zaidi.

Mastaa Na Watu Wengine Kwenye Ushawishi Wamekua Wakitumia Nafasi Zao Kukemea Biashara Hiyo.

Staa Wa #ComeCloser (#Wizkid) Ameungana Na Mastaa Wengine Kukemea Biashara Hiyo Kwa Kusema "Sifurahishwi Nayo, Kwanza Ni Gharama Kubwa Ambayo Hata Ma***a Mtaani Hawauzi 

Kwa Thamani Ya Midoli Hiyo". Unaambiwa Midoli Hiyo Inakuja Katika Jinsia Zote Na Ina Uwezo Wa Kufanya Mapenzi Na Binadamu Akafurahia Tendo Kama Anapokua Na Binadamu Mwenzake.
Midoli Hiyo Inatajwa Kuuzwa Mpaka Milioni 5.2 Za Kitanzania.
(source Mp3 Magazine)

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.