Mashabiki wawili wa WCB wafariki dunia kwa ajali (Picha)

Washabiki damu wawili wa WCB wamefariki dunia kwa ajili ya gari siku ya Jumapili wakitoa Morogoro kuja Dar es salaam.


Diamond katikati na mashabiki hao waliofariki dunia
Mashabiki hao waliopata ajali ya gari maeneo ya Chalinze wakitokea Morogoro kurudi Dar es Salaam, ni Philly Nevvo na mwingine ni Platnumz Mondi kwa majina ambayo walikuwa wanatua Instagram.

Mpaka sasa bado tunafuatilia taarifa zaidi za ajali hiyo lakini rais wa WCB, Diamond Platnumz amesikitisha kutokea kwa ajali hiyo.

“Mbele Yenu Nyuma yetu, Siku zote tutaendela kuwakumbuka na kuthamini Mapenzi na mchango wenu Mkubwa kwa @wcb_wasafi…..Mwenyez Mungu azilaze Roho zenu mahali pema peponi….amen @philly_nevvo_msafi @,” aliandika Diamond.

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.