Melody Mbassa Ampa Homa Christian Bella


Star Huyo aliye Tamba na kibao cha Nikukoleze Ambacho watu wengi walijua ni Bella lakini Baada Ya Video kutoka ndipo aliwaacha mdomo wazi mashabiki wengi wa bongo Fleva kwa Umri wake na Mziki Mkubwa anao Ufanya kitu ambacho hata Christian Bella Alisikika Akimsifia Kwenye Interview Radio One kwenye kipindi cha Afro Tz "kua Anamuelewa sanaa na akikaza na kusimama katika misingi yake atafika mbali" Alisikika bella akiongeaHivi Karibuni Mtaarishaji Nguli wa Video Msafiri wa Kwetu Studio Alimpost Melody Mbassa Kwenye Page Yake Akiashilia Ujio Mkubwa Toka kwa Kijana huyo Mwenye Miondoko Ya kipekee na Mziki wake Una ladha Ya Kipekee katika Tasnia Ya Bongo Fleva

Mashabiki wa Melody Mbassa wakae mkao wa kula Muda wowote Tutarajie Balaa Toka Kwa huyu Kijana

Hii Ndio Kazi Yake
 

No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.