Ndio Sikatai Kufananishwa Na christian Bella


Melody Mbasa Ambae ambae anatamba na kibao chake cha Byee Audio alifanya na C9 na Video Kafanya Kwetu Studio,


Melody Leo Asubuhi Alikua Times Fm alienda kutambulisha Kibao chake kipya ambacho ni Byee Basi Akaamua kuwajibu mashabiki swali ambalo kila siku anakutana nalo kuhusu yeye kufanana na mwimbaji mkubwa hapa tanzania Christian Bella na melody leo hakukaa kimya na kusema kua "ninafuraha kufananishwa na christian bella maana hata ukiwa mchezaji ukifananishwa na messi basi unafurahi"

Tazama Interview Full Ya Melody Ndani Ya Times Fm
No comments

Theme images by lobaaaato. Powered by Blogger.